Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Cuba nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Ernesto Gomes Dias wakati Balozi huyo alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Septemba 28, 2012 kwa kumuaga.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika Mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Ernesto Gomes Dias wakati Balozi huyo alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Septemba 28, 2012 kwa kumuaga.
![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Iran nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Mohsen Movahhedi Ghomi leo Septemba 28, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam Dar es salaam.Picha na IKULU |






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...