Wanadiaspora wa Canada na Uingereza sasa mnaweza kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika kupitia simu yako ya mkononi.
Kama upo Uingereza (UK) piga namba:  442035190840
Kama upo Canada piga namba:  (213) 493-0181   na utaweza kusikiliza matangazo yote ya nusu saa nzima au sehemu tu ya matangazo kama unavyopenda. Wanadiaspora Marekani huduma itakuja karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...