Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiuonesha njia za reli katika ramani ya Tanzania ujumbe toka kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC) uliomtembelea leo Septemba 29, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam kumweleza nia yao ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli.PICHA NA IKULU
Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE AONANA NA UJUMBE WA MWAPORC IKULU, DAR ES SALAAM, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
wasiotaka maendeeleo wataumia sana safari hii...
ReplyDelete