Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, aliyekuwa Mpambe wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Rais wa pili wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi.
Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi naUsalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo leo Keko, jijini Dar es salaam, kufuatia kifo cha Luteni Kanali(mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, aliyekuwa Mpambe wa Rais wa kwanza waTanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Rais Ali Hassan Mwinyi. Marehemu amezikwa leo Septemba 6, 2012 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ndugu jamaa na marafiki wa Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia leo Septemba 6, 2012 Keko, jijini Dar es salaam.
Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, akiwa kazini kama Mpambe wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na baadaye Rais wa pili wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Inna lillahi wa innah lillahi rajiun.
    Mdau Washington

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...