Hello Guyz! 
Am glad to share with u that kind of usafiri huku vijijini kwetu. Picha hizo nilizipiga jana katika moja ya barabara iendayo Korogwe vijijini.Basi hilo lililopakia abiria wengi mpaka wengine kuwekwa katika keria ambapo kwa kawaida sehemu hiyo huwekwa mizigo jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao, lilikuwa likitokea Korogwe Mjini kuelekea  Kata ya Magamba kwalukonge (Korogwe vijijini) Umbali wa takribani Km 109 kutoka Korogwe Mjini. 
By Mng'anzagala Galinoma - Korogwe Tanga.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. well, kama dereva atatembea taratibu kwa kujua kwamba amejaza watu kuliko kipimo,na akiwa na nia njema tu ya kusaidia watu ,maana kumbuka kwamba huko vijijini usafiri ni wa shida kweli kweli,je ?? lipi bora zaidi hapa ungelikuwa wewe uko kwenye hali kama hii ya kutaka kusafiri lakini gari limejaa.Nina hisi kwamba huenda hata wewe ungepanda juu ya keria.Yes nakubaliana na wewe mia kwa mia kwamba ,si jambo jema kujaza abiria namna hii.lakini inapobidi, naomba madereva wawe extra makini.Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  2. Watanzania wanahitaji kuelimishwa juu ya kujali maisha yao! Hakuna hata polisi wa kuwatia ndani wote hao pamoja na dereva wao? Ujinga gani huu!

    ReplyDelete
  3. Tanzania suala la kinga halipo, tunangojea ajali na maafa yatokee tuunde tume na wahusika waneemeke maisha yanaendelea!!!

    ReplyDelete
  4. dereva na konda. pia abiria waliopanda huko wote wanatakiwa wawekwe ndani. jela kabisa.

    ReplyDelete
  5. Tazama Tanzania inavyo meremeta. Blue sky,green hills na udogo mwekundu.Shauri shauri. Asante mpigaji picha. Shida kama maoni alivyo sema changamoto suala la kinga hatu jali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...