Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nyie waKenya Vipi bwana.Badala ya kukamata wanaoziingiza nchini mwenu(kama ailvyosema ndugu yangu mmoja hapo) badala yake mnakimbizana na raia wanaozinunua.

    David V

    ReplyDelete
  2. Mpango huo wa udhibiti wa Viwango vya simu za Mkononi ukija Bongo, mbona tutakoma na Michina michina yetu?

    ReplyDelete
  3. Serikali inahimiza watu wasisitize risiti za TRA. In a maana ukinunua feki unaweza ukadai haki yako. Ni vizuri kuhakikisha simu halali tu zinatumika. Michina ina IMEI number zaidi ya moja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...