Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo P. Pinda amewavua madaraka Wakurugenzi Sita, ameteua Kaimu Wakurugenzi sita, Wakurugenzi Wapya kumi na nne, na kuwahamisha Wakurugenzi ishirini na saba kutoka katika vituo vyao kutokana na sababu mbalimbali.

Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na kuonyesha Udhaifu katika kutekeleza majukumu, kustaafu, kujaza nafasi zilizo wazi katika Halmashauri Mpya zilizoanzishwa hivi karibuni na wengine wamebadilishiwa majukumu na kurejezwa katika kazi zao za awali.

Kwa orodha kamili ya majina ya Wakurugenzi hao na  maeneo wanayotoka BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...