Home
Unlabelled
Barabara ya Mwananyamala yaanza kupigwa sop sop
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kuwa specific , mwanyama kubwaa. utuambie mwanyamal ipi tujue kama pesa zetu za kodi zinatumika kihalali.
ReplyDeleteDu nyamala mitaa ya home na ukisogea kidogo chini alimaua ndio kitaa kwa sideboy mwenyewe ila kwa sasa nipo swiss bata kwa sana
ReplyDeletehii nayo Kajumlo anasema vipi, je ? tumepewa misaada ya bure ??? tunapopinga maoni yake , watu wengine wanatuona eti tunawachukua watu walioko ughaibuni !!!!! Lahasha bro, mwingine kasema eti tujifunze kutoka kwa watu watz wanaoishi nje , eti kwa sababu wao wanajua zaidi yetu !!!! sasa chibuku kama hizi ndizo zinazotufanya tupinge maoni yenu, kisha mnatuona eti tuna chuki na nyinyi NO , lahasha ,never-tunachokipinga ni kutuona sisi mafara eti kwa sababu hatujatembea, kwa hiyo ,kila utumbo mtakao usema sisi tuchekelee tu. aaa!, wrong !these guys back here ,they know how to look after themselves, nyie mtakuwa mnakuja kutembea tu na mtakuta nchi imejengwa vile vile, lakini kwa vile mdomo hauna mfupa-feel free to say anything. Sometime ago rais wa america aliwaambia watu wake kwamba, dont ask what america has done for you, but ask what have you done for america.Sasa kizazi kipya cha mtanzania kinajiuliza swali kama la rais huyu wa america, what have i done for Tanzania ???? trust me mr Kaju- we are going on a right direction, mkitaka kurudi na mrudi,msipotaka, same shit different day. The struggle continue of making Tanzania a better place to live.God bless africa. Zebedayo msema kweli.
ReplyDeleteWe jamaa Zebedayo!Mbona unaonyesha una chuki binafsi katika maoni yako? Unatafuta ugomvi na watu Ughaibuni? lakini si unaona hawakujibu kwa vile wanaona maoni yako ni ya ubaguzi. Tumia elimu yako kwa busala. Kwa vile mtu yupo bongo wakati fulani haimanishi ni mzalendo zaidi kuliko wengine. Kwa vile wewe unajitapa sana haimanishi ndiyo una uchungu zaidi na Taifa au ndiyo umejenga zaidi. Na hamna mtu kasema wewe fara, unajihisi mwenyewe. Na kujibu swali lako la rais wa Marekani aliyesema uliyosema, ambaye ni John F. kwa taarifa yako. Kama mtu amechangia hata kutoa maoni mazuri, amesaidia kujenge taifa lake. Ni WAZO ZURI tu lilo muhimu. Kwa mie binafsi simfahamu wala sijawahi kukutana na Kajumulo, lakini namfahamu kupitia habari zake katika kusadia jamii, sana sana Kimichezo. Nadhani watu wasingekuwa wanauliza watu umelifanyia nini TAIFA bali wajiulize wenyewe, na ni siri yako na jamii inatambua ilo. Tuache kutafuta sababu ya kujiona sisi zaidi kuliko wengine, iwe Utaifa, dini, ukabila, utajiri n.k hapo tutasonga mbele.
ReplyDelete