Wanahabari wakilinda 'doria' nje ya Ikulu jijini Dar es salaam  leo kwa mategemeo ya kukamata taswira za waandamaji ambao walijinadi kutaka kufika maeneo hayo, ila walidhibitiwa na mapema pamoja na kutumia ujanja wa kufika hapo mmoja mmoja ama wawili wawili

  Polisi wakifanya doria kwa kutumia pikipiki
   Mitaa ya Kariakoo na viunga vyake ikiwa imeimarishwa ulinzi wa nguvu na Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 


Askari wa Kikosi cha kutuliza Ghasia (FFU) wakimwingiza katika gari muumini wa Kiislamu aliyekamatwa katika viunga vya maeneo ya Ikulu 
 Barabara ya kuingia katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi zikiwa zimefungwa na Askari Polisi kufuatia vurugu zilizotokea leo.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. akina Ras Makunja hongereni sana kwa kutimiza wajibu wenu,nyinyi mnakubalika kila panapohitajika muziki mnakuwa tayari mushafika katika eneo

    ReplyDelete
  2. Ndio kusema akina ras makunja wanapiga doria nyumbani kwao kariakoo? kweli kazi wanaiweza

    ReplyDelete
  3. Si mchezo huu muziki wa leo mkubwa kina ras makunja na piki piki,kweli kazi hipo

    ReplyDelete
  4. Mbona JWTZ?

    ReplyDelete
  5. At all cost peace should be maintained. Allah does not support such action. Stop giving Islam a bad name you bunch of cowards.
    And again government needs to sort out the issue of unemployment and education people are being used by few individuals for their own motives.

    ReplyDelete
  6. mimi ni mwiisilamu na laani vurugu zinazoletwa na kikundi cha watu wachache wakitumia jina la dini ya kiislamu kuvuruga amani, shehe Ponda na kikundi chako nyinyi sio waislamu ni kikundi cha vurugu

    ReplyDelete
  7. no body is being used you coward piece of s they started abusing us long long time ago now we are tired and we are taking action on our hands because they don't care about us.
    this government is for the Christianity so you piece of s better close you mouth if you don't know what is going on around here in Tanzania.

    ReplyDelete
  8. Sisi waislam tunaelewa maana ya Uislamu ni Amani hatuwezi kuacha vikundi vya watu wachache wavunje amani kwa kutumia jina la Dini ya mwenyezi mungu,huu utakua ni unafiki
    mkubwa,tena haiwezekani watu wachache wapotoshe umma na kuanzisha fujo,Uislamu unaeleza lazima tuheshimu sheria za nchi,na maisha ya wanadamu,kutumia jina la dini kinyume na dini ni unafiki,
    Waislamu tusikubali kabisa kulichafua jina la dini hii kwa kuunga mkono wanafiki wanalitumia vibaya kwa kuanzisha fujo.
    Wasalam

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...