DNA akiwapagawisha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.
…Akifanya makamuzi ya nguvu.
Dully Sykes akiwapa ‘hi’ mashabiki.
Roma akiwahamasisha mashabiki wake.
Jhikoman alipokuwa akitoa burudani ya Jumapili.
Jike la Simba, Isha Mashauzi, akiwajibika.
DNA akiwasilisha ujumbe kwa mashabiki.
Shadrack Joseph (mwenye suruali nyeusi) akicheza na kundi lake kibao cha marehemu Michael Jackson kiitwacho Thriller.
Rukia Juma ‘Mamaa Mashauzi’ akikamua na kundi la Mashauzi Classic.
Sehemu ya wanamuziki wa Mashauzi Classic wakiwa kazini.
Mkali wa sarakasi, Zungu Tasha, akifanya vitu vyake.
Shabiki ‘aliyeleta za kuleta’ akiondolewa na mabaunsa.
UMATI wa wapenzi wa burudani jana walibanjuka na msanii Denis Kaggia ‘DNA’ kutoka nchini Kenya katika onesho lililofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam. Burudani hiyo ilisindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo mkali wa muziki wa reggae Jhikoman, Kundi la Taarab la Mashauzi Classic, wanamuziki wa kizazi kipya, Shadrack Joseph, Roma, Dully Sykes na burudani ya sarakasi kutoka mkali wa ishu hizo, Zungu Tasha.
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...