Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na wananchi wa
Kijiji cha Chwaka kuhusu mzozo wa Uvuvi kwa wananchi hao na ndugu zao
wa Kijiji cha Marumbi,katika uwanja wa Skuli ya Kijijini,pia
aliwaomba kuwa kitu kimoja kuondosha tofauti zao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mifugo na
Uvuvi Abdilah Jihadi Hassan,pamoja na Viongozi wengine alipowasili
katika viwanja vya Skuli ya Chwaka,kuzungumza na wananchi hao kuhusu
mzozo wa Uvuvi na ndugu zao wa Kijiji cha Marumbi, ambapo
aliwaomba wananchi hao kuondosha tofauti zao.
Baadhi ya Viongozi na wazee walioufuatana na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
wakati alipofanya mazungumzo na wananchi wa Kijiji cha Chwaka,
kuhusu mzozo wa Uvuvi na ndugu zao wa Kijiji cha Marumbi , ambapo
aliwaomba wananchi hao kuondosha tofauti zao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwapungia mkono wananchi wa Kijiji
cha Chwaka kama ishara ya kuwaaga,baada ya mazungumzo na wananchi hao
kuhusu mzozo wa Uvuvi na ndugu zao wa Kijiji cha Marumbi,katika
uwanja wa Skuli ya Kijijini hapo jana,pia aliwaomba kuwa kitu kimoja
kuondosha tofauti zao.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...