![]() |
| Katibu Mkuu, Bw. Haule akiwakaribisha Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere walipokitembelea hivi karibuni. |
![]() |
| Wajumbe wa Kamati ya NUU na Wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakimsikiliza Katibu Mkuu (hayupo pichani) wakati akiwakaribisha. |
![]() |
| Mhe. Azzan akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya NUU na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje. Kulia ni Balozi Rajab Gamaha, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje. |
![]() |
| Katibu Mkuu, Bw. Haule akitoa maelezo kuhusu Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama waliotembelea kituo hicho |








Hongera sana Wachina, Mnatuokoa sana.
ReplyDeleteMaana yake sisi hatuwezi kujenga wenyewe hatuna Wakandarasi Wazuri.
Tujengeeni Kila Kitu.
Reli
Barabara
Madaraja
Majengo ya Mikutano
Mashule
Mabweni
Mahoteli
Viwanja nya Michezo
Na Mengine yote
Mungu atawazidishia.
ReplyDeleteHhah we mdau wa kwanza una matatizo sanaaa,,,
sasa unadhani Tanzania kuna mkandarasi wa kujenga vitu adimu kama hvyo?? ebu angalia mwenyewe majengo yaliyo jengwa na udsm graduates wanao jiita wakandarasi alafu linganisha na majengo ya mcina wewe mwenyewe utajua kwamba Tanzania hakuna wakandarasi ila kuna vibarua wa wakandarasi
Linganisha mjenzi wa TCRA tower
Angalia EXIM Tower Posta
Angalia BOT twin Tower
Angalia DCB Bank Magomeni
Angalia Airtel Center
Haya Mbongo
Benjamin Mkapa Tower
Utumishi Building
Magorofa ya Kariakoo
Hapo utajua kwamba Tanzania hakuna wakandarasi labla yule