Mwalimu wa darasa la Tatu katika shule ya Sunrise Primary School and Nursery schoo, Neema Daniel, akiwa amewakumbatia wanafunzi wake wakati wa kusherehekea bithday ya Emmanuel Masele (katikat) wakati
alipotimiza miaka 8 ya kuzaliwa ,kulia ni rafiki yake mpendwa Abubakar Muhidin na Kushoto ni Ahmed Ally hafala hiyo ilifanyika shuleni hapo Rengent Estate Mtaa wa Chato jijini Dar es Salaam.
Emmanuel Masele akizima mshumaa wakati wa hafla ya kuazaimisha miaka 8 ya kuzaliwa iliyofanyika shuleni kwao Sunrise Primary School and Nursery school jijini Dar es Salaam.kulia ni Abubakar Muhidin na Ahmed Ally.
Emmanuel Masele akikata keki wakati wa hafaya ya kuazimisha miaka 8 ya kuzaliwa kweke iliyofanyika katika shule ya Sunrise Primary School and Nursery school jijini Dar es Salaam.kulia ni Abubakar Muhidin na
Ahmed Ally.
Mwalimu wa darasa la Tatu katika shule ya Sunrise Primary School and Nursery schoo, Neema Daniel akimlisha keski Emmanuel Masele wakati wa kusherehekea birthday ya miaka 8 ya kuzaliwa ,kulia
ni rafiki yake mpendwa Abubakar Muhidin na Kushoto ni Ahmed Ally hafala hiyo ilifanyika shuleni hapo Rengent Estete Mtaa wa Chato jijini Dar es Salaam.
Emmanuel Masele akigawa keki darasani wakati wa hafla ya kuadhaimisha miaka 8 ya kuzaliwa kwake
Makubwa haya...keki na soda?
ReplyDeleteHongera mtoto mzuri, shule za siku hizi zinafundisha watoto kupendana na kuthaminiana ambapo "sharing" inawekewa msisitizo. Watoto wana-grow up knowing that sharing stuff with others ni kitu cha kawaida tu, sio mpaka uombwe. I like the spirit
ReplyDeleteSasa wewe mdau hapo juu ulitaka watoto wanywe nini jama??
Hii shule nilikuwa nasikia ni nzuri...hii picha imenifanya nishangae...
ReplyDeleteMbona naona watoto kama wamebanana...meza moja watoto watatu wataandikaje sasa...kuna tofauti gani na madawati ya shule za kata?
ni vizuri mdau umepoint out sharing. hawa wadau wanaoshanga keki na soda inaonekana kwao ndio wanapika mbuzi katless sambusa...na wewe mdau unasema watoto wanabanana wewe umesoma shule gani?? mama sisi wengine tumekaa chini mpaka leo tuna suguru. ukiwa unaona watoto hivi wanabanana basi something wrong with uuuu...
ReplyDelete