Mwalimu wa darasa la Tatu katika shule ya Sunrise  Primary School and Nursery  schoo, Neema Daniel, akiwa amewakumbatia wanafunzi wake wakati wa kusherehekea bithday ya Emmanuel Masele (katikat) wakati

alipotimiza miaka 8 ya kuzaliwa ,kulia ni rafiki yake mpendwa Abubakar Muhidin na Kushoto ni Ahmed Ally hafala hiyo ilifanyika shuleni hapo Rengent Estate Mtaa wa Chato jijini Dar es Salaam.

 Emmanuel Masele akizima mshumaa wakati wa hafla ya kuazaimisha miaka 8 ya kuzaliwa  iliyofanyika shuleni kwao  Sunrise  Primary School and Nursery  school jijini Dar es Salaam.kulia ni Abubakar Muhidin na Ahmed Ally.
 Emmanuel Masele akikata keki wakati wa hafaya ya kuazimisha miaka 8 ya kuzaliwa kweke iliyofanyika katika shule ya Sunrise  Primary School and Nursery  school jijini Dar es Salaam.kulia ni Abubakar Muhidin na

Ahmed Ally.


 Mwalimu wa darasa la Tatu katika shule ya Sunrise  Primary School and Nursery  schoo, Neema Daniel akimlisha keski  Emmanuel Masele  wakati wa kusherehekea birthday ya miaka 8 ya kuzaliwa ,kulia

ni rafiki yake mpendwa Abubakar Muhidin na Kushoto ni Ahmed Ally hafala hiyo ilifanyika shuleni hapo Rengent Estete Mtaa wa Chato jijini Dar es Salaam.

Emmanuel Masele akigawa keki darasani  wakati wa hafla ya kuadhaimisha miaka 8 ya kuzaliwa kwake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Makubwa haya...keki na soda?

    ReplyDelete
  2. Hongera mtoto mzuri, shule za siku hizi zinafundisha watoto kupendana na kuthaminiana ambapo "sharing" inawekewa msisitizo. Watoto wana-grow up knowing that sharing stuff with others ni kitu cha kawaida tu, sio mpaka uombwe. I like the spirit

    Sasa wewe mdau hapo juu ulitaka watoto wanywe nini jama??

    ReplyDelete
  3. Hii shule nilikuwa nasikia ni nzuri...hii picha imenifanya nishangae...

    Mbona naona watoto kama wamebanana...meza moja watoto watatu wataandikaje sasa...kuna tofauti gani na madawati ya shule za kata?

    ReplyDelete
  4. ni vizuri mdau umepoint out sharing. hawa wadau wanaoshanga keki na soda inaonekana kwao ndio wanapika mbuzi katless sambusa...na wewe mdau unasema watoto wanabanana wewe umesoma shule gani?? mama sisi wengine tumekaa chini mpaka leo tuna suguru. ukiwa unaona watoto hivi wanabanana basi something wrong with uuuu...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...