Home
Unlabelled
hii imekaaje wadau? maana ni kama wanatuchanganya vilee....!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa kakuchanganya nini? Kipi usichokielewa hapo?
ReplyDeleteWabongo wamevumbua technique mpya.
ReplyDeleteBadala ya Daylight Saving time wao wameamua kurudisha siku moja nzima nyuma badala ya saa moja. lol
hakuna la kuchanganya hapo, kwanza utuambie alipata mtoto kwa njia gani? au ni mtoto alipotea sasa amempata? n.k
ReplyDeleteime kaa poa kwa sababu mungu ndo mtoaji na mjuzi wa viumbe vyote. so wasikudanganyeni wanawake kwamba ukifika sijui miaka arabaini kuzaa tabu sijui ukiwa na monopause kuzaa itakuwa ngumu mungu akitaka lake amja hula lako jambo hata usome kubobeya.
ReplyDeletehaya ni maajabu na rehma za muumba wetu
Jamaa anamanisha tarehe same,siku tofauti,nyie mnaanza kumcharukia,eeh wabongo tuwe na subira
ReplyDeleteNaona wachangiaji hapo juu hamjaelewa ni kitu gani kinachochanganya katika hilo gazeti !! Ukiangalia tarehe iliyoandikwa upande wa kushoto wa gazeti imeandikwa Jumamosi 20 2012 na upande wa kulia imeandikwa Ijumaa 20 2012. Hayo ni makosa ya uchapaji na yalitakiwa yasahihishwe kabla ya gazeti kutoka!!!
ReplyDeleteYani wote mmeshindwa kujua kwamba inazungumziwa ijumaa na jmos why tarehe ni moja?kuweni wadadisi msikurupuke!!!
ReplyDeletekabla ya kutoa comments zozote chunguzeni kwanza amemaanisha nini. Hapo hazungumzii hiyo habari bali tarehe na siku hapo juu,gazeti ni moja ila upande wa kushoto ni jumamosi oktoba 20 wakati upande wa kulia ni ijumaa oktoba 20
ReplyDeletewadau, jifunzeni kusoma tarehe kwenye gazeti!!!
ReplyDeleteMichuzi umewapata kwani umewapa swali tata na pia watanzania hatuendi kwenye details. Hawaoni gazeti moja lasema ijumaa Octoba 20 2012 na ukurasa mwingi Jumamosi Octoba 20 2012. Hicho ndicho ulicholenga wao waingia choo ya kike
ReplyDeleteWa kwanza haujaelewa. Hakumaanisha hiyo habari, angalia tarehe na siku pale kushoto na kulia kwenye gazeti moja
ReplyDeleteMe no look, but lest assured life goes on.
ReplyDeleteIssue hapo ni tarehe si habari kama watu walivyo-comment, tarehe 20 kipande kimoja cha gazeti inaonyesha Ijumaa na kingine kinaonyesha Alhamisi
ReplyDeleteHayo ni matatizo ya kutokuwa na "checklist" ya vitu vya kukagua kabla ya kuchapisha toleo. Ni madhara yatokanayo na "function" nzuri ya "save as" katika program nyingi za computer.
ReplyDelete