Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Sasa kakuchanganya nini? Kipi usichokielewa hapo?

    ReplyDelete
  2. Wabongo wamevumbua technique mpya.
    Badala ya Daylight Saving time wao wameamua kurudisha siku moja nzima nyuma badala ya saa moja. lol

    ReplyDelete
  3. hakuna la kuchanganya hapo, kwanza utuambie alipata mtoto kwa njia gani? au ni mtoto alipotea sasa amempata? n.k

    ReplyDelete
  4. ime kaa poa kwa sababu mungu ndo mtoaji na mjuzi wa viumbe vyote. so wasikudanganyeni wanawake kwamba ukifika sijui miaka arabaini kuzaa tabu sijui ukiwa na monopause kuzaa itakuwa ngumu mungu akitaka lake amja hula lako jambo hata usome kubobeya.

    haya ni maajabu na rehma za muumba wetu

    ReplyDelete
  5. Jamaa anamanisha tarehe same,siku tofauti,nyie mnaanza kumcharukia,eeh wabongo tuwe na subira

    ReplyDelete
  6. Naona wachangiaji hapo juu hamjaelewa ni kitu gani kinachochanganya katika hilo gazeti !! Ukiangalia tarehe iliyoandikwa upande wa kushoto wa gazeti imeandikwa Jumamosi 20 2012 na upande wa kulia imeandikwa Ijumaa 20 2012. Hayo ni makosa ya uchapaji na yalitakiwa yasahihishwe kabla ya gazeti kutoka!!!

    ReplyDelete
  7. Yani wote mmeshindwa kujua kwamba inazungumziwa ijumaa na jmos why tarehe ni moja?kuweni wadadisi msikurupuke!!!

    ReplyDelete
  8. kabla ya kutoa comments zozote chunguzeni kwanza amemaanisha nini. Hapo hazungumzii hiyo habari bali tarehe na siku hapo juu,gazeti ni moja ila upande wa kushoto ni jumamosi oktoba 20 wakati upande wa kulia ni ijumaa oktoba 20

    ReplyDelete
  9. wadau, jifunzeni kusoma tarehe kwenye gazeti!!!

    ReplyDelete
  10. Michuzi umewapata kwani umewapa swali tata na pia watanzania hatuendi kwenye details. Hawaoni gazeti moja lasema ijumaa Octoba 20 2012 na ukurasa mwingi Jumamosi Octoba 20 2012. Hicho ndicho ulicholenga wao waingia choo ya kike

    ReplyDelete
  11. Wa kwanza haujaelewa. Hakumaanisha hiyo habari, angalia tarehe na siku pale kushoto na kulia kwenye gazeti moja

    ReplyDelete
  12. Me no look, but lest assured life goes on.

    ReplyDelete
  13. Issue hapo ni tarehe si habari kama watu walivyo-comment, tarehe 20 kipande kimoja cha gazeti inaonyesha Ijumaa na kingine kinaonyesha Alhamisi

    ReplyDelete
  14. Hayo ni matatizo ya kutokuwa na "checklist" ya vitu vya kukagua kabla ya kuchapisha toleo. Ni madhara yatokanayo na "function" nzuri ya "save as" katika program nyingi za computer.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...