Home
Unlabelled
hili sasa ni tatizoooo....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
City wamegoma kuweka speed bumps, wananchi wana improvise! Ukipita hapo lazma upunguze mwendo kukwepa hayo "majabali"...
ReplyDelete$D
HUJUI KUNA UAMSHO?
ReplyDeleteHaahaha! Mdau hapo juu umenivunja mbavu. I love my Africa,watu very creative.
ReplyDelete
ReplyDeleteHii ni kuonyesha kuwa serikali haifanyi kazi. watu wanatumia nguvu ku-enforce law and order.
when a government is asleep, or in leave, there means and ways the society tackle their issues!
Poleni wana mango garden
mkijengewa barabara nzuri mnatugongea watoto,speed mpaka mwisho tufanyeje sasa hiyo ndio hali
ReplyDeleteHii inakuwa kama kule Italia hasa maeneo ya Kusini mwa nchi ambako kwa kuwa Serikali za Manispaa ziko Likizo hivyo ''SERIKALI ZA KIUKOO ZA KIMAFIA'' ZINASHIKA NAFASI KUSIMAMIA MAMBO!
ReplyDeleteAu inakjuwa ni njia ya kuwa;punguza spidi wanendeshaji ili kuvamiwa kukabwa na kuporwa?
ReplyDeleteAu inakjuwa ni njia ya kuwapuguza spidi wanendeshaji ili kuvamiwa kukabwa na kuporwa?
ReplyDeleteHiyo staili ipo nchi za Amerika ya Kusini huko Brazili na Colombia Majambazi wa Mitaani hasa nje ya miji wanajenga vizuizi vya barabara au hata kutumia kamba kuwazingira waendesha vyombo vya moto barabarani na kuwafanyia uhalifu!
Au inakjuwa ni njia ya kuwapuguza spidi wanendeshaji ili kuvamiwa kukabwa na kuporwa?
ReplyDeleteHiyo staili ipo nchi za Amerika ya Kusini huko Brazili na Colombia Majambazi wa Mitaani hasa nje ya miji wanajenga vizuizi vya barabara au hata kutumia kamba kuwazingira waendesha vyombo vya moto barabarani na kuwafanyia uhalifu!
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kipindi cha nyuma Mateo Qaress aliwahi kupangiwa mawe barabarani nje ya mji huko Mbeya, alipokuwa akienda Kijijini aliona mawe yamepangwa alipokaribia na Dereva wake kupunguza mwendo aliona watu wanajitokeza majanini kuja na silaha za mapanga na mawe hata hivyo Mkuu wa Mkoa alikuwa na Bastola alitoa cha moto na kuanza kurusha risasi juu huku Wanyampala wakisambaa na kurudi huko Manyasiani walikotokea!
ReplyDeleteHao Government ndiyo wanaopita na magari speed hapo? Si wananchi kama nyie, sasa hamuwezi kufuata sheria mpaka hao Government wawalazimishe?
ReplyDeleteSawa ila je tunaopita usiku, tutaona kweli hayo mawe au tutaishia kupata ajali mbaya?????..Mbona mitaa ya kwetu tunaweka miti ya minazi tunaichimbia chini na kuipaka rangi inakuwa kama bumps???? fikirieni na usalama wa wenye magari pia, sio kufikiria usalama wa mwenda kwa miguu tu. Lets not be selfish
ReplyDeleteAcha domo wewe na serikali ya mtaa mmechukua hatua gani. Hujui wewe ni sehemu ya serikali. Bongolala!
ReplyDeleteNakubaliana na wakazi wa eneo hili. Asilimia 90 ya madereva Dar es Salaam ni wajinga wasiojali usalama wa watu wengine. Bila kuweka vizuizi sehemu kama hii watu watakuwa wanagongwa kila siku.
ReplyDelete