Habari za kazi,
Mimi naitwa Ngwesa Paulo mhitimu wa shahada ya utalii chuo kikuu cha Dodoma UDOM. Nilikuwa naomba msada wako unitangazie blog yangu kwenye blog yako inakwenda kwa jina la NGWESA http://ngwesa.blogspot.com/  
ni Blog inayohusiana na habari za kitalii zaidi pamoja na mali asili. Nashukuru kwa ushirikiano wako.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Bloggers wengine wanakera sana. ukitembelea blog yake unakuta anakaa wiki 1, wiki 2 hata mwezi au miezi kadhaa hajaweka hata picha moja wala maelezo yoyote. lakini bado anaitangaza bloga.
    Sijui wanataka sifa kwa watu au inakuwaje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...