Meneja Masoko wa Kampuni ya Megatrade Investment Limited,Bw. Goodluck Kway (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 10,Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Jambo Festival ambaye pia ni Afisa Mkuu Mtendaji wa Idea Afrika ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo,Bw.Augustine Namfua kwaajili ya kudhamini Tamasha la Jambo Festival linalotarajiwa kufanyika Oktoba 20 hadi 28 mwaka huu jijini Arusha. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...