Mwenyekiti wa Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC) Fatma Riyami (kulia) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salam juu ya Mkutano wa Saba wa Kimataifa wa Wanawake wafanyabiashara wa Nchi ya Mashariki mwa Afrika unaofanyika Tanzania kwa mara ya kwanza na unaotarajiwa kufunguliwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal . Kushoto ni Makamu wa Mwenyekiti wa TWCC Anna Matinde. Mkutano huo unafunguliwa tarehe 22.10.2012 katika Hotel Kunduchi Beach.
Home
Unlabelled
Makamu wa Rais Dkt . Bilal kufungua Mkutano wa saba wa Kimataifa wa Wafanyabaishara wanawake jijini Dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Wacheni kudaganya wakinamama. Kila mara mikutano wakati wano faidika ni viongozi, marafiki pamoja na familia.Wakinamama wano tumiwa kuendeleza ufisadi na viongozi hawana nja.
ReplyDelete