Uncle samahani naomba unisaidie ku publish kwenye Blog yetu ya Jamii. Mie nina tatizo kidogo nahitaji ufafanuzi kutoka kwa wadau.
Naomba kujua kama kuna Medical School (Medical University) yeyote nyumbani Tanzania inakubali kupokea transfering students ya Mwaka 1 kwa ajili ya Tropical Medicine module.
Pia ningependa kujua selection criteria ya transfer na ni wakati gani wanakubali kupokea transfering students. nikiambiwa na learning enviroment nitafurahi zaidi.
Mdau toka
Yong Loo Lin School of Medicine
National University of Singapore
Maswali hayo peleka www.tcu.go.tz
ReplyDeleteduu kazi kweli kweli yaani wewe unataka utoke kwenye chuo ambacho ni top 20 duniani uende kwenye vyuo kajamba nani vya bongo,, duu ndugu yangu hata siku shauri kabisaa
ReplyDeleteangalia difference kati ya NUS na vyuo vyoote vya bongo hakuna hata kimoja chenye same status na chuo unacho soma bora hata uende Cape town University ya South Africa
Wewe Mdau wa Singapore endelea na masomo yako huko huko hujui kuwa hiyo Singapore ni kama Uingereza?
ReplyDeleteYa nini kurudi kwenye Elimu ya chini ya mwembe Kijijini Ubena zomozi-Ifaraka wakati upo Jijini Dar Es Salaam Chuo Kikuu?
Wadau wa hapo juu. Kama mtu unafanya utafiti basi university zote ni sawa duniani. Kama unataka kusomeshwa darasani basi bongo ni kuzuri zaidi maana mwalim atakuelezea kwa kiswahili na utafanya majadiliano na wanafunzi wenzako ambapo kitu kama hicho hukipati nje ya TZ. UK wanachofanya wao ni kwenda sambamba na teknolojia katika kufundisha.
ReplyDeleteJamaa ana point ukweli ni kwamba hawa watu hua hawafundishi tropical disease kwa hyo ni vizuri kurudi kufanya hiyo module bongo ila nakushauri uende KCMC nadhani watakupokea lakini MUHAS usitegemee kwanza wana maringo kama nini
lakini ushauri wangu ni bora uende Cape town kama huyo mdau wa hpo juu alvyo shauri achana na elimu ya bongo angalia tofauti ya ada kati ya Muhimbili au KCMC na hicho chuo unacho soma yaani haziendani kabisaa unatoka kwenye 45000$ unakuja kwenye 900$ siku shauri kabisaa
weka email yako will help u..i encounterd the same situation niliapply wakanipokea,its not abt the school fee au ubora wa chuo cha msingi ni utapata knowledge ya kutosha in tropical disease wen u here rather thn huko singapore na cape town..sometyms ppl jct comment w/o knowning wanachokiongea wewe ndo unajua umuhmu wa kitu unachotaka kufanya
ReplyDelete