Mkuu wa wilaya ya Handeni,Muhingo Rweyemamu (katikati) akikamilisha zoezi la makabidhiano ya mfano wa hundi ya Tsh 40.5 mil zilizotolewa na TBL kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Uhusiano na Sheria, Steve Kilindo (kushoto) kwa ajili ya kusaidia uchimbaji wa visiama 15 vya maji kwa wananchi wa vijiji vitatu vya Kwamgwe. Kulia ni mwakilishi wa wajasiriamali wa Kisangani Smith Group Padre Edward Haule watakaofanya kazi hiyo ya uchimbaji wa visiama hivyo shughuli ambayo imeanza leo.
Diwani wa kata ya Kwamgwe Sharrifa Abebe Odejo akizungumza na wananchi baada ya kutoa shukrani kwa TBL kufuatia msaada ilioutoa kwa wananchi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...