Meneja Mradi wa shirika lisilo la kiserikali kutoka Ujerumani ( EIFL) Monica ELBERT (mwenye nguo ya bluu) akiwaelekeza jambo baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Chang’ombe Mazoezi wilaya ya Temeke mkoani Dar- es- Salaam wakati wakifanya mafunzo pamoja jinsi ya kutumia teknolojia ya upashanaji wa habari na mawasiilano kupitia mtandao , Mradi huo wa mafunzo ujulikanao (Public Library Innovation Programme- PIP- ) Kwa kupitia mradi huo wanafunzi wataweza kupata taarifa mbalimbali kirahisi kwaajili ya masomo yao na taarifa mbalimbali za kila siku.. Meneja wa mradi huo amefurafahishwa sana baada ya kuhojiana na wanafunzi hao na kumueleza kwamba ni ukombozi kwao kwani baada ya kumaliza mafunzo, elimu itakuwa imewasaidia sana kuwarahisishia masuala mbalimbali ya masomo pamoja kupata taarifa mbalimbali
Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika mafunzo ya matumizi ya kompyuta.Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Chang`ombe JUU, ndiyo, ndiyo, JUU zaidi, the old good days,loads of previous awesome teachers, Mwl Shilatu,Mwl Matanyanga, Mama Mfuko,Mwl Dirisha,Mwl Kyara(RIP), Mama Nachenga (RIP), Mwl Mbise, Mwl Shada, Mwl Mteleka, Mwl Nyenzi, Mwl Mushi, Mwl Mwinisongole,Mwl Amani (wa muziki), Mwl Mbena, na wengine wengi tu. Wherever you are Thank you very much,

    ReplyDelete
  2. ...Mwl Matemu, Mwl Kagoro, Mwl Mwanza, etc etc, it is more than 35 years ago, but the memory is vivid and clear, Thank you very much.

    ReplyDelete
  3. sitamsahau Mwalimu aka Ticha Mussa aliyenipa msingi bora wa kuongea kiingereza mpaka sasa sibabaiki kabisa nikiwa na wadhungu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...