Afisa Usalama mahali pa kazi wa Kampuni ya Bia Tanzania Tawi la TBL Arusha, Heavy Kasena akiwapa maelezo ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na Kiwanda hicho cha TBL mjini Arusha warembo wa wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2012 walipotembelea kiwanda hicho jana.
Washiriki wa shindano la Redds Miss Tanzania 2012 wakipita katika maeneo mbalimbali ya kiwanda cha Bia cha TBL mjini Arusha wakati walipofanya ziara maalum. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Mshiriki wa shindano la Redds Miss Tanzania 2012, Mary Chizi akicheza mchezo wa pool dhidi ya Timu ya TBL Arusha. Warembo hao jana walitembelea kiwanda hicho cha Bia cha TBL mjini Arusha wakati walipofanya ziara maalum. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...