Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira - Dk. Terezya Huvisa (kulia) akizungumza na Waziri Gregory Barker kutoka Idara ya Nishati na Mabadiliko ya Tabia nchi ya nchini Uingereza. Dk. Huvisa na Bw. Barker wamejadili jitihada za Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabia Nchi. Mazungumzo hayo yamefanyika leo katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli, Dar es Salaam. kushoto ni Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Diane Loise Corner.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Home
Unlabelled
Waziri Huvisa akutana na Waziri Barker wa Uingereza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...