TANZANIA'S TOP DESIGNERS -ALLY REHMTULLAH NA DIANA MAGESSA KUWASHA MOTO KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA"MITINDO NITE -3" USA YANAYO FANYIKA KILA MWAKA JUMAMOSI YA THANKS GIVING WASHINGTON DC AMBAYO HUANDALIWA NA DESIGNER MAARUFU KAMA WINNY NA J & P ENT.

MMOJA WA WARATIBU WA MAONYESHO HAYO YA MITINDO..MR DICKSON MKAMA ..a.k.a " DMK" AMETHIBITISHA KUWA MWAKA HUU WAMEJIANDAA KWA SHOW YA AINA YAKE AMBAYO MBALI NA TANZANIA  KUNA MADISIGNER KUTOKA NCHI MBALI MBALI ZA AFRICA  NA CARIBBEAN PAMOJA NA SUPER MODELS 16 KUTOKA KAMPUNI YA "IHI MODELING AGENCY", KATIKA UKUMBI WA KISASA KABISA NA BURUDANI KABAMBE KUTOKA KWA MWANAMUZIKI MAHIRI WA KIKE " HAFSA KAZINJA". 

MAONYESHO HAYO YANALETWA KWENU NA MAKAMPUNI YA J&P ENT, DMK GLOBAL PROMOTIONS,NORTHERN ZONE ENT..NA YATARUSHWA LIVE NA VIJIMAMBO TV...MC WA USIKU HUO WA MITINDO ATAKUWASUNDAY SHOMARI KUTOKA VOICE OF AMERICA & MS KAYA !

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...