Urban Pulse na Freddy Macha wanakuletea trailer ya shujaa mpya wa Kitanzania
Wilfred Moshi aliyejitolea kwa hali na mali kwa ajili ya kupanda Mlima Everest. Yeye ndio ameweka rekodi ya kuwa mweusi wa tatu Afrika na Mtanzania wa kwanza kupanda mlima mrefu kupita yote duniani. |
Home
Unlabelled
Tanzania yapata Shujaa Mpya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mbona sijafamu hii kideo inamaanisha nini? naona imeishia bila kutuonyesha huyo jamaa wala kusikia mazungumzo yake
ReplyDeletehaha huyu jamaa ananiachaga hoi na taarifa zake.
Kwanza hongera kwa kupanda mlima everest mdau. Ni mlima mgumu sana kupanda lakini sidhani kwamba Mtanzania huyu anazungumziwa duniani kote kama anavyosema mdau katika video.
ReplyDeleteMimi nafanya kazi Washington Post, gazeti la Marekani na sijaona habari hii kuchapishwa katika magazeti ya hapa wala sijaona huyu kijana katika mtandao.
Ni muhimu kutuletea habari hapa lakini pia ni muhimu kuleta habari bila kuweka chumvi chumvi.
Zaidi ya hapo, hongera sana.
ReplyDeleteAsante kwa kutuwekea kaka Michuzi,
This is GREAT.
Hongera SANA brother! BIG UP TZ,
The flag well represented. Tunasubiri full Documentary.