Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu (katikati) akiongoza matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya wanafuzi wa kike. Kulia ni Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Rosemary Lulabuka (kulia) na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dk. Naomi Katunzi. (Picha na Habari Mseto Blog)
Wanafunzi wa Shule ya
Sekondari Makongo wakishiriki katika matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa
mambweni ya wasichana yaliyoanzania
Mlimani City na kuishia katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jana.
Jumla ya sh. milioni 50 ikiwa ni pamoja
na ahadi zilipatikana.
Mwanafunzi
wa shule ya Sekondari Baobab, Khadija Nuru akisoma risala kwa niaba ya
wanafunzi wenzake ambao walichangia kiasi cha sh. milioni 1.
Naibu
Waziri wa Maliasilia na Utalii, Lazaro Nyarandu akiwa na mke wake
ambaye pia ni balozi wa kampeni ya kuchangia ujenzi wa mabweni ya
wanafunzi wasichani, Faraja Nyarandu ambapo alichangia sh. milioni 10
kwa ajili ya kusadia ujenzi ya wasichana .
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
is 10 mil has clean channel, legally if a depute minister can contribute 10 mil to one fundraising event, I don't believe is a good message to normal citizen. If father of the nation was alive you could see people are doing these kinds of show off business
ReplyDeleteTokea Michango Ya Changia Mabweni ianziishwe hakuna hata Mfuko mmoja wa Cement ulionunuliwa.
ReplyDeleteNi Mwaka Sasa Umeisha. Ukitembelea Website yao Hutaona Hata Maendeleo huwezi kuonyeshwa