Meneja
Mkuu wa Kampuni ya Travelport, Eliasaph Mathew
akizungumza wakati wa semina ya siku moja kuhusu teknolojia mpya ya
kuuza tiketi kwa kutumia simu ya mkononi iliyofanyika jijini Dar es
Salaam, pamoja na kukuza
ushirikiano wa kibiashara na Shirika la Precision Air na kuhudhuriwa na
mawakala wa mashirika ya ndege jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa kampuni ya Wakala wa Ndege ya Tan Travel, Paul Walden akichangia mada katika semina hiyo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Aucland Tours,Albert Makoye akichangia Mada katika Semina hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...