Jana Jumatau 19/10/2012 ilikuwa siku ya choo Dunian. Je, watu hawa kuna lolote wanalotambua kuhusu usafi, matunzo, na umuhimu wa choo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mbona hamna wadada wakijisaidia??

    ReplyDelete

  2. Hizi siku zimezidi sasa, mpaka siku ya choo? mwisho tutaletewa siku ya kutoa hewa chafu

    ReplyDelete
  3. Kwa suala hili kweli tumeshikika!

    Unaweza kukuta mtu amevaa vizuri na akaonekana ni wa kujiheshimu, sasa subiri uone ameshikwa na haja, lohhh hapo ndio utaona ustaarabu wake upo wapi,

    Si unamkuta anazama mferejini tena bila aibu anaanza kujisaidia huku makabrasha yake yakiwa kwapani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...