Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Bw. Raymond Mbilinyi(katikati) akifutilia michango kutoka kwa washiriki wa kikundi kazi cha ardhi kilichowaleta pamoja maofisa kutoka  wizara ya Ardhi,Nyumba and maendeleo ya makazi na ofisi ya Waziri Mkuu(TAMISEMI),kushoto ni Mkurugenzi wa mifumo ya habari wa kituo, Bw.John Kyaruzi na kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma wa kituo,Bi.Nakuala Senzie.Warsha hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliandaliwa na kituo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...