Jaji Mkuu Mh. Othman Chande akiwa na Jaji mkuu wa Kenya Mh. Willy Mtungi na Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa mapumziko ya kongamano la mwaka la majaji inayofanyikia kwenye hoteli ya Snow Crest Hotel jijini Arusha
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba akisalimiana na mmiliki wa Snow Crest Hotel ya jijini Arusha Ndugu Wilfred LucasTarimo wakati wa mapumziko
Sehemu ya majaji wakiwa kwenye kongamano hilo |
Waheshimiwa wakibadilishana mawazo wakati wa mapumziko kwenye kongamano hilo la mwaka la majaji. Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...