Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Masumbwi Mohamed Chibumbuli akiwa chini huku akihesabiwa baada ya kupata kichapo kutoka kwa bondia wa Zambia Mbachi Kaonga |
Wasanii wa kikundi cha Sanaa cha Zinduka Entertaiment cha Temeke wakitoa burudani kabla ya mpambano wa Zambia na Tanzania uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita |
Wasanii wa kikundi cha Sanaa cha Zinduka Entertaiment cha Temeke wakitoa burudani kabla ya mpambano wa Zambia na Tanzania uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita |
Bondia Mbachi Kaonga wa Zambia kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi na Mohamed Chimbumbui wa Tanzania Kaonga alishinda kwa point wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa Kimataifa uliofanyika mwishponi mwa wiki iliyopita picha na www.superdboxingcoach. |
Enhhh Watanzania sisi ushiriki wetu Michezoni ni kwa mabishano ya Vijiweni tu.
ReplyDeleteSi mnaona wa Zambia wanavyotu dunda?
Wazambia ngumi jiwe!
ReplyDeleteHawa jamaa huko kwao hawana msamiati wa neno 'chai' ni kuwa mtu akiamka asubuhi Kifungua Kinywa ni Ugali tena wa dona na Mbaazi, Kunde, Maharage au Samaki!
Sasa kwa Mtaji huo sisi na Mabondia wetu wa chips mayai tutaweza?
Tanzania Mahindi ya Dona tunalima sisi, Zambia yeye mlaji mzuri wa Ugali!
ReplyDeleteHapo Madogo wetu hawa wa Ubaunsa wa kunyanyua matofali vichochoroni na kwenye Makempu Mitaani watafua dafu kweli?
Fedha ni tamu Wajameni !
ReplyDeleteLakini ahhh isiwe tabu yaani gumi la uzito wa Kg. 75 kutoka kwa Mbachi Kaonga wa Zambia linatua ktk shavu langu usoni mimi Maganga Bahati wa Tanzania si ndio sasa kupeana Kiharusi na kupooza mwili?