Mwezeshaji wa Masuala ya PPP kutoka katika Taasisi ya IP3 ya nchini Marekani inayojishughulisha na masuala ya PPP, Bw. Ned White akiwaeleza wataalamu kutoka  katika Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wakati wa  mafunzo ya Sera ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Binafsi mjini Morogoro. Mafunzo hayo yanayotarajiwa kufungwa rasmi leo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Peniel Lyimo.


Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. John Mboya (Wa kwanza kushoto ) akiwa na wataalamu kutoka  katika Sekta ya Umma na Sekta Binafsi katika mafunzo ya Sera ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Binafsi yaliyoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu tangu tarehe 29 Novemba  mjini Morogoro, mafunzo hayo yatafungwa rasmi leo tarehe 9 Novemba na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Peniel Lyimo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...