Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huawei, Bruce Zhang (kulia), akimkabidhi Meneja wa Intaneti wa Kampuni ya Tigo, Titus Kafuma simu aina ya Smartphone Ascend Y200 ambazo baadhi zitatolewa ofa kwa wateja. Hafla hiyo ilifanyika  jijini Dar es Salaam. Picha na Richard Mwaikenda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...