Kipindi ni ' Mimi Na Tanzania'. Juma la jana kati ya Hoyce Temu na Maggid Mjengwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Alipoanza tu kuzungumzia blogs mbalimbali na wamiliki wa hizo blogs,uhusiano uliopo kati ya waanzilishi wadogowadogo wa blogs na wazoefu akakatishwa ghafla sasa sijui betri zilikwisha chaji au ndio mbinu tu za hao wanablog wakubwa wakubwa teh teh teh

    ReplyDelete
  2. ZipompapompaNovember 16, 2012

    Huyu bwana Mjengwa, anaposema kwamba jamii nzima ya watanzania haijapata kuzoea matukio ya kupigwa risasi kinyama ana maana sisi waislamu siyo watanzania? Nauliza kwa sababu sisi tumeshayazoea hayo ambayo yeye na wenzake wanayaona mageni.

    Mwembechai, unguja na pemba ndiyo usiseme.

    Bwana Mjengwa, usitie shaka yakhe, mtayazoea tuu na nyinyi mambo haya, kwani mvua inaponyesha haichagui paa la nyumba fulani peke yake.

    ReplyDelete
  3. UNASEMA SIO VIZURI KUJUMUISHA KUWA POLISI WALIHUSIKA KWANI NI MTU MMOJA AU KIKUNDI TU. KISHA UNASEMA POLISI HAWAWEZI KUUNDA TUME HURU KWA SABABU NI WATUHUMIWA, HUONI KAMA UNAJICHANGANYA?

    ReplyDelete
  4. Anony wa Fri Nov 16, 06:39:00 AM 2012, nimeipenda comment yako! Lakini ujue woga bado unatusumbua, kwani polisi wameshika mabunduki na mabomu ukiwasema vibaya huenda nawe siku 1 ukajikuta ni victim. Nimemsoma Mjengwa anaogopa kuwasema!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...