Kipindi ni ' Mimi Na Tanzania'. Juma la jana kati ya Hoyce Temu na Maggid Mjengwa
Home
Unlabelled
Mahojiano aliyofanyiwa Maggid Mjengwa Na Hoyce Temu Kwenye kipindi cha ' Mimi Na Tanzania'
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Alipoanza tu kuzungumzia blogs mbalimbali na wamiliki wa hizo blogs,uhusiano uliopo kati ya waanzilishi wadogowadogo wa blogs na wazoefu akakatishwa ghafla sasa sijui betri zilikwisha chaji au ndio mbinu tu za hao wanablog wakubwa wakubwa teh teh teh
ReplyDeleteHuyu bwana Mjengwa, anaposema kwamba jamii nzima ya watanzania haijapata kuzoea matukio ya kupigwa risasi kinyama ana maana sisi waislamu siyo watanzania? Nauliza kwa sababu sisi tumeshayazoea hayo ambayo yeye na wenzake wanayaona mageni.
ReplyDeleteMwembechai, unguja na pemba ndiyo usiseme.
Bwana Mjengwa, usitie shaka yakhe, mtayazoea tuu na nyinyi mambo haya, kwani mvua inaponyesha haichagui paa la nyumba fulani peke yake.
UNASEMA SIO VIZURI KUJUMUISHA KUWA POLISI WALIHUSIKA KWANI NI MTU MMOJA AU KIKUNDI TU. KISHA UNASEMA POLISI HAWAWEZI KUUNDA TUME HURU KWA SABABU NI WATUHUMIWA, HUONI KAMA UNAJICHANGANYA?
ReplyDeleteAnony wa Fri Nov 16, 06:39:00 AM 2012, nimeipenda comment yako! Lakini ujue woga bado unatusumbua, kwani polisi wameshika mabunduki na mabomu ukiwasema vibaya huenda nawe siku 1 ukajikuta ni victim. Nimemsoma Mjengwa anaogopa kuwasema!
ReplyDelete