Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk akihutubia baada ya kukabidhiwa Vitabu Mbalimbali na Program za Kichina na Balozi Mdogo wa China alioko Zanzibar Chen Qiman,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Kikwajuni Zanzibar.
Balozi Mdogo wa China alioko Zanzibar Chen Qiman (kulia) akizungumza pamoja na Mkurugenzi wa ZBC Radio Rafii Haji huko katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Kikwajuni Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...