Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. maguguli ndio nani mbona sijawahi kumsikia?

    ReplyDelete
  2. Kweli Rais wetu anastahili sifa. Ni mchapakazi haijawahi kutokea. Hata anampiku Rais Obama na ndiyo maana taifa limegubikwa na MONSANTO, SAGCOT na.... Tuendelee kumsifu hadi kiama chetu.

    ReplyDelete
  3. nimefurahi kweli sina cha kusema sana zaidi naipenda nchi yangu sana japo nipo nje ya nchi lakini napenda kuona kila kitu na maendeleo yote natamani kurudi lakini bado sijafanikiwa nikifanikiwa sina haja ya kukaa huku hata hakuna furaha ni kubaguana na baridi tu.

    ReplyDelete
  4. Waziri kama DK Maguguli ni mfano mzuri kwa vijana. Nina kubaliana na Anonymous kwamba Rais Kikwete anastahili sifa.Kiboko.Mchapakazi na changmoto zote he is still standing tall.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...