Mwenyekiti wa Kamati ya Taaluma ya Sayansi na Mabadiliko ya Tabia Nchi,Richard Muyungi (kulia) akifungua na kuongoza Mkutano wa Kamati hiyo mjini Doha,Qatar katika mkutano wa 18 wa duniani wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabaia nchi (COP 18).
Baadhi ya washiriki wa Tanzania wakifuatilia mkutano wa kundi la 77 na China (G77 and China) katika mkutano wa Dunia wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya Tabia Nchi unaoendelea mjini Doha, Kulia Bi Emelda Teikwa na Bw. Fred Manyika maafisa kutoka idara ya Mazingira ya Ofisi ya Makamu wa Rais. Picha na evelyn Mkokoi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...