UNIVERSAL
AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa naUbalozi wa Denmark, Sweden, British Council & Wataaam mbalimbali watauza kwa mnada wa hadhara Magari na Fenicha tarehe
17 November, 2012 Jumamosi saa 3:00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza,Lion
Street jijini Dar es salaam.
MALI ZITAKAZOUZWA: Sofa set, Dining
Table/chairs, Chest drawers, Wardrobes, Bookshelf, Vitanda/Magodoro, Meza za Ofisini/viti,
Vitanda/Magodoro, Carpet, Fridge, Freezer, Electric/Gas Cooker, Photocopy M/C,
Computers, Printer, A/C split Units/Window, Security Control screening m/c n.k.
MAGARI YATAKAYOUZWA:
Idadi
|
Aina
|
Aina
|
Mwaka
|
Ushuru
|
1
|
Land Cruiser Prado
|
S/Wagon
|
1993
|
Umelipiwa
|
1
|
Land Rover Discovery
|
S/Wagon
|
1999
|
Umelipwa
|
1
|
Land Rover Discovery
|
S/Wagon
|
2000
|
Umelipwa
|
1
|
Toyota Corolla
|
Saloon
|
1989
|
Umelipiwa
|
1
|
Compressor ya kuchimbia madini
|
30HP
|
20-30Bar
|
Umelipwa
|
Mali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza, Lion
Street tarehe 15 na 16 November, 2012 kuanzia saa 4.00 asubuhi mpaka saa 10.00
jioni.
MASHARTI YA
MNADA:
- Mnunuzi wa fanicha atatakiwa kulipa malipo yote pale pale. Na mnunuz i wa gari atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio liilipwe ndani ya siku 7 ukishindwa kulipa kwa muda huo gari litauzwa tena na dhamana haitarudishwa.
- Mali zote zitauzwa kama zilivyo.
- Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru.
- Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa siku hiyo hiyo baada ya kulipia malipo yote pamoja na ushuru.
Kwa maelezo
zaidi waone:
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...