Kwa mujibu wa taarifa za awali kupitia CNN Rais wa Marekani Barak Obama amemgaragaza mpinzani wake Mitt Romney kwa kura zaidi ya 270 zilizotakiwa ili mtu ashinde katika uchaguzi mkuu wa Marekani. Tayari sherehe za ushindi zimeshaanza kwenye makao makuu ya Rais mteule huko Illimois, Chicago ambako wakati wowote kuanzia sasa Obama mwenyewe anatarajiwa kutoa neno la shukrani. Globu ya Jamii ambayo ni sapota mkubwa wa Rais huyo wa kwanza mweusi kuongoza taifa hilo kubwa inatoa pongezi kwa ushindi huo wa kishindo. Yaani, angeshingwa tungelia...
Home
Unlabelled
News alert: Obama amgaragaza romney katika uchaguzi mkuu marekani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



hakika tungelia wamarekani wamefanya kweli
ReplyDeleteObama 50% Romney 49% ndiyo asilimia ya kura kwalizopataktk skrini ya TV
ReplyDelete