Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (Diaspora) waliowaalika kwa chakula cha mchana Ikulu ndogo mjini Dodoma Jumatano Novemba 14, 2012. Viongozi hao kutoka Marekani, Italy, India, Uingereza Afrika kusini na India walihudhuria katika Mkutano Mkuu wa Nane wa CCM uliomalizika juzi Kizota. PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Haruna mbeyu huyoooooooooooooooooooooooo

    baada ya jana watu kulalamika haruna kusimamishwa leo wamemkumbuka na wamempa kitu akae

    lakini kwa nini wamemweka mbali?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...