Home
Unlabelled
Swali kutoka kwa Mdau GARDNER HABASH KATIKA SHOW YAKE (MASKANI 4 pm - 7pm) 100.5 TIMES FM RADIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Assallaam Alleykhum Wadau!
ReplyDeleteMi nadhani bidhaa ambayo ni rahisi kuibwa ni Cellphone!!!! kwa kuwa mahitaji yake ni makubwa nadhani ndio maana zinaibwa saaana! Pia, kwa uono wangu bidhaa nyingine ambayo ni hotcake kwa kuibwa ni Wake za Watu na Waume za Watu!!! Ningeweza kueleza kwa kirefu ni jinsi gani bidhaa hizi zinaibwa saana na ni rahisi kiasi gani! lakini nina muda mchache kwa leo! Siku njema na baraka tele!!!
Mdau!
shark_ham@yahoo.co.uk
Kulingana na vipindi tofauti vya maisha yetu na kulinga na sehemu na sehemu,
ReplyDeleteBidhaa hizi zimekuwa funika bovu kwa kushawishi wizi,
1.CHENI:
Haswa za kutengenezwa kwa Dhahabu,ama vito vya thamani kwa miaka mingi huko nyuma zimekuwa zikiibiwa hadi sasa.
2.SAA:
Za thamani hasa zinazoweza kuonekana zimetengenezwa kwa vito na dhahabu zimekuwa zikiibwa huko nyuma na hadi sasa.
3.SIMU:
Zimekuwa zikiibwa baada ya mapinduzi ya Mitandao kushika kasi zaidi ya Dhahabu na saa, lakini kwa sasa zinaibiwa simu zenye thamani zaidi isipokuwa Mwizi ni Mwizi hata akipata hafasi simu isiyo thamani huibwa pia!
MWANAMKE KUIBWA AMA MWANAMUME KUIBWA:
ReplyDeleteWizi wa kuchukuliana Wapenzi!
PESA !
ReplyDeleteWiper za Gari ndio itakuwa inaibiwa zaidi kirahisi Duniani au kitu Chochote kinachohusiana na gari nje au ndani ya gari. MZ
ReplyDeleteMhh, hili swali sijui kama lina maana yoyote. Huyo aliyeuliza atoe upeo hupi(under what perspective)anafikiria hilo swali vinginevyo nina wasiwasi ataishia kupata matusi badala ya majibu. Wizi unategemea vitu vingi, the end product is the use of the stolen product.. Money might be number one, but u can steal a car and sell it..
ReplyDeleteKwahiyo, swali lako ni mada za shule za msingi ohh...Is Town Life better than country life?
tufikirie zaidi ndg zangu
definitely pesa. Kishawishi kikubwa..
ReplyDeletejitu badala lijibu nalo linaleta mambo mengi hivi Wabongo tukoje kichwani tuna nini?
ReplyDeleteKwa upande wangu mi naona SIMU
maana siku hizi pesa hazipotei kama simu inavyopetea.
Cesc Henry, Dar
money money
ReplyDeletebidhaa namba moja inayoibiwa sana ni penzi. kwaheri!!
ReplyDeletepenzi ndio bidhaa inayoongoza kwa wizi.
ReplyDeletepenzi linaongoza kuibiwa
ReplyDeletepenzi linaongoza kuibiwa kuliko chochote.
ReplyDeletewe mwenyewe unaijua. cheating ni wizi unaoitwa kwa jina la kistaarabu zaidi "AFFAIR"!
ReplyDeleteChupi,,,hasa wanawake kwa wanawake!
ReplyDeleteViatu kuibiwa Misikitini !!!
ReplyDeleteMdau anony wa Tue Nov 13, 05:25:00 PM 2012
ReplyDeletehahahahaha...wanawake ndio wamezidi kuibiana mabwana!
ReplyDeleteMONEY!!!