Uncle michuzi habari,Naomba Msaada tutani hapo katika Libeneke la Globu ya Jamii kwa kunitundikia swali  langu hili,Hivi ni bidhaa gani ambayo ni rahisi zaidi kuibwa? Na ndio bidhaa inayoibwa zaidi duniani. Wadau wanaweza kutoa jibu kupitia Maoni ndani ya Libeneke la Globu ya Jamii, SMS 0658 515151 au www.facebook.com/Experience.Africa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Assallaam Alleykhum Wadau!

    Mi nadhani bidhaa ambayo ni rahisi kuibwa ni Cellphone!!!! kwa kuwa mahitaji yake ni makubwa nadhani ndio maana zinaibwa saaana! Pia, kwa uono wangu bidhaa nyingine ambayo ni hotcake kwa kuibwa ni Wake za Watu na Waume za Watu!!! Ningeweza kueleza kwa kirefu ni jinsi gani bidhaa hizi zinaibwa saana na ni rahisi kiasi gani! lakini nina muda mchache kwa leo! Siku njema na baraka tele!!!

    Mdau!
    shark_ham@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  2. Kulingana na vipindi tofauti vya maisha yetu na kulinga na sehemu na sehemu,

    Bidhaa hizi zimekuwa funika bovu kwa kushawishi wizi,

    1.CHENI:
    Haswa za kutengenezwa kwa Dhahabu,ama vito vya thamani kwa miaka mingi huko nyuma zimekuwa zikiibiwa hadi sasa.

    2.SAA:
    Za thamani hasa zinazoweza kuonekana zimetengenezwa kwa vito na dhahabu zimekuwa zikiibwa huko nyuma na hadi sasa.

    3.SIMU:
    Zimekuwa zikiibwa baada ya mapinduzi ya Mitandao kushika kasi zaidi ya Dhahabu na saa, lakini kwa sasa zinaibiwa simu zenye thamani zaidi isipokuwa Mwizi ni Mwizi hata akipata hafasi simu isiyo thamani huibwa pia!

    ReplyDelete
  3. MWANAMKE KUIBWA AMA MWANAMUME KUIBWA:

    Wizi wa kuchukuliana Wapenzi!

    ReplyDelete
  4. Wiper za Gari ndio itakuwa inaibiwa zaidi kirahisi Duniani au kitu Chochote kinachohusiana na gari nje au ndani ya gari. MZ

    ReplyDelete
  5. Mhh, hili swali sijui kama lina maana yoyote. Huyo aliyeuliza atoe upeo hupi(under what perspective)anafikiria hilo swali vinginevyo nina wasiwasi ataishia kupata matusi badala ya majibu. Wizi unategemea vitu vingi, the end product is the use of the stolen product.. Money might be number one, but u can steal a car and sell it..
    Kwahiyo, swali lako ni mada za shule za msingi ohh...Is Town Life better than country life?

    tufikirie zaidi ndg zangu

    ReplyDelete
  6. definitely pesa. Kishawishi kikubwa..

    ReplyDelete
  7. jitu badala lijibu nalo linaleta mambo mengi hivi Wabongo tukoje kichwani tuna nini?

    Kwa upande wangu mi naona SIMU
    maana siku hizi pesa hazipotei kama simu inavyopetea.

    Cesc Henry, Dar

    ReplyDelete
  8. money money

    ReplyDelete
  9. bidhaa namba moja inayoibiwa sana ni penzi. kwaheri!!

    ReplyDelete
  10. penzi ndio bidhaa inayoongoza kwa wizi.

    ReplyDelete
  11. penzi linaongoza kuibiwa

    ReplyDelete
  12. penzi linaongoza kuibiwa kuliko chochote.

    ReplyDelete
  13. we mwenyewe unaijua. cheating ni wizi unaoitwa kwa jina la kistaarabu zaidi "AFFAIR"!

    ReplyDelete
  14. Chupi,,,hasa wanawake kwa wanawake!

    ReplyDelete
  15. Viatu kuibiwa Misikitini !!!

    ReplyDelete
  16. Mdau anony wa Tue Nov 13, 05:25:00 PM 2012

    hahahahaha...wanawake ndio wamezidi kuibiana mabwana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...