Urban Pulse na Freddy Macha wanakuletea trailer ya shujaa mpya wa Kitanzania
Wilfred Moshi aliyejitolea kwa hali na mali kwa ajili ya kupanda Mlima Everest. Yeye ndio ameweka rekodi ya kuwa mweusi wa tatu Afrika na Mtanzania wa kwanza kupanda mlima mrefu kupita yote duniani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mbona sijafamu hii kideo inamaanisha nini? naona imeishia bila kutuonyesha huyo jamaa wala kusikia mazungumzo yake

    haha huyu jamaa ananiachaga hoi na taarifa zake.

    ReplyDelete
  2. Kwanza hongera kwa kupanda mlima everest mdau. Ni mlima mgumu sana kupanda lakini sidhani kwamba Mtanzania huyu anazungumziwa duniani kote kama anavyosema mdau katika video.

    Mimi nafanya kazi Washington Post, gazeti la Marekani na sijaona habari hii kuchapishwa katika magazeti ya hapa wala sijaona huyu kijana katika mtandao.

    Ni muhimu kutuletea habari hapa lakini pia ni muhimu kuleta habari bila kuweka chumvi chumvi.

    Zaidi ya hapo, hongera sana.

    ReplyDelete

  3. Asante kwa kutuwekea kaka Michuzi,
    This is GREAT.

    Hongera SANA brother! BIG UP TZ,

    The flag well represented. Tunasubiri full Documentary.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...