Mkurugenzi wa Shirika la Vijana la Tanzania Youth Alliance (Tayoa), Peter Masika akipokea tuzo iitwayo Gail Goodridge kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tacaids, Dk Fatma Mrisho kutokana na kuwa mstari wa mbele katika kuelimisha dhidi ya maradhi ya Ukimwi. Masika ndiye mtu wa kwanza kushinda tuzo hiyo bara la Afrika. Katikati ni Dorothy Muroki kutoka fhi Kenya na kushoto kabisa ni mke wa Masika Consolata. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...