Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma akiongea na waandishi wa habari kuelezea mkutano mkubwa utakaozungumzia matumizi na namba moja kwa mitandao tofauti ya simu utakaofanyika katika Ukumbi wa Mlimani city Novemba 15 na 16, 2012. Mkutano huo unatakuwa na
washiriki kutoka nchi mbalimbali na watoa huduma za mitandao yote ya simu nchini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...