Home
Unlabelled
Vifaa vipya vya kura Kenya VOA MItaani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
tanzania tumeona hili au tumekalia umbea tu na kuvaa sare zisizo na faida?tunataka na sisi hizi jamani mwe tumechoka kuibiwa na kelele zitakwisha,maugomvi ya ujinga yataisha ntafurahije zikija.kikwete nakuamini sana kwamba utaleta ukiamua hata leo bado hujachelewa.hata vitambulisho vya kudumu hii system itasaidia.
ReplyDeleteKuna muziki mmoja wa Bob marley unaitwa "Babylon system is the vampire". Kwenye wimbo ule une mstari Marley anasema "Tell the children the truth".
ReplyDeleteBaadhi yetu ni wakubwa kiasi cha kuweza kukumbuka mpango huu wa "electronic vote" ulivyotumiwa na Governor wa Florida, Jeb Bush kumwibia kura Algore na kumpa kaka yake George.
Kwa ufupi, kura zinaibika kirahisi zaidi "electronically" kuliko manually.
Mdau ktk kutoa comment umenena jambo la maana siyo kushabikia kila kitu.
ReplyDeleteNchi inaweza kuwa katiba nzuri ktk karatasi, vifaa vya eletroniki kupigia kura n.k siyo garantii ya kupata haki au kura ambazo hazijachakachuliwa.
La muhimu ni dhamira iliyo safi kwa waliopewa dhamana ya kutoa haki kisheria au kusimamia zoezi la upigwaji kura wa haki ndiyo utazaa matunda ya haki.
Bila dhamira iliyo safi basi sheria/katiba nzuri ktk karatasi au vifaa vya kisasa vya kupigia kura ni bure tu kwani haki haitakuwepo maana wasimamizi wa mazoezi hayo ni binadamu.
Mdau
Makini.
Ohhh Kenya Watani wetu wa jadi mmefikia pabaya sasa!
ReplyDeleteHivi jamani vifaa vya kisasa vya Elektroniki vya Kupigia kura huko 'Manzese' yenu na 'Tandale' yenu Miferejini, Vichochoroni Kenya mtafanyia nini hivyo vifaa?
Hamjui Mtengenezaji ameweka vina sehemu ya kuvibatilisha kwenye mamlaka yake endapo vitafikia kwenye Mikono isiyo tambulika?
Majirani zetu Kenya ama kweli mnayo damu ya ujambazi na uhalifu!
ReplyDeleteKwa hapo mlipofikia kuiba vifaa vya kisasa vay Kupigia Kura mtaweza hata kuiba jeneza au Sanda Msibani!!!
KENYA ni funiko 'BOVU' Afrika Mashariki na Kati:
ReplyDeleteKama mtu amewahi kwenda Nairobi aseme kama aliwahi kufika ktk Soko moja la Mnadani kule EASTLEIGH maeneo yanayokaliwa na wageni kama Wasomali, Wa Ethiopia, Wa Eritrea, Wa Nubi Wa South Sudan na Wa Yemen ni kuwa lile soko linauzwa bidhaa za aina zote chini ya jua!
Mojawapo ya bidhaa hizo niliwahi kushuhudia vitu vifuatavyo ndani ya Soko la Mnada mchana kweupe zikiwa zimening'inizwa ukutani kwa mauzo na mezani:
BIDHAA ZILIZOPO SOKONI HAPO,
1-Bunduki AK-47 na mikanda ya risasi(vikining'inia ukutani)
2-Mabomu ya kutupa kwa mikono (hand grunetts)
3-Mabastola aina mbali mbali kuanzia ndogo (inayoweza kufichwa hata kwapani) hadi kubwa
4-Baruti za kulipulia miamba
5-Nyavu za kuvulia samaki wakubwa hadi nyangumi na kutegea wanyama wakubwa wakubwa kama tembo!
6-Spea za ndege na magurudumu yake
7-Pasipoti za nchi tofauti
8-Stika za Visa za nchi tofauti
9-Vyeti vya kuzaliwa na hati zingine za nchi mbali mbali
10-Mihuri ya sehemu tofauti (Taasisi na Idara mbali mbali za Serikali ya Kenya hadi Mihuri ya Mamlaka na Taasisi za nchi zingine Jirani na Dunia nzima!!!,,,niliona Muhuri wa Mkuu wa GEREZA MOJA LA ITALIA sikuamini macho yangu nilishuhudia hiyo kitu, na utitiri wa bidhaa zingine za ajabu ambazo sikuzifahamu kabisa!.
Nilipomuuliza Mwenyeji wangu kuhusu hapo na Mamlaka kama Polisi akasema pale Soko lipo wazi Masaa 24 kila siku na Polisi hakanyagi!
SASA KWA MZUNGUKO WA MAUZO WA AINA HIYO YA BIDHAA HAPO JUU SOKONI HUKU UKIZINGATIA (DEMAND AND SUPPLY) HASA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA KENYA HAKUNA SHAKA VIFAA HIVYO VYA KISASA VYA KUPIGIA KURA KENYA UTAWEZA KUVIKUTA VIKINADIWA KTK SOKO LA MNADA HUO !!!
Angalieni mauza uza ktk nchi za Afrika ya Mashariki, ni ajabu na kweli!
ReplyDeleteNafikiri kwa kuwa Afrika ya Mashariki inasemekana ndio chimbuko la mtu wa kale, ndio maana ndivyo sivyo nyingi zinajiri eneo hili!
1.Burundi, ilipatiwa Misaada ya Vyandarua mwaka 2008 na Raisi wa zamani wa Marekani G.W Bush ,Warundi wakazitumia vyandarua kuviulia samaki Lake Tangangika!
2.Tanzania, imepatiwa ARVs' dawa za kukata makali ya VVU Wajasiriamali wa kufuga kuku wanazitumia kukuzia kuku wa vitoweo!
3.Rwanda, wamepewa mbegu maalum ya Mihogo ili kukabiliana na njaa na marahdi ya mazao, badala yake inatumika kuchachulia Pombe haramu kama Gongo!
4.Uganda, imepewa madawa ya kukabiliana na utapiamlo kwa watoto, badala yake inaingizwa maabara na kufyatulia mayai ya kuku!
5.Kenya, kubwa lao nao sasa vifaa vya kisasa vya kupigia kura vimeshazama manyasini,,,tusubiri kusikia mbadala wa matumizi yake zaidi ya kupigia kura kwa njia za magendo Uchaguzi Mkuu ujao huko March-2013!