Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa juu wa CCM katioka picha ya pamoja na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo ambapo wanachama wamempigia kura Mwenyekiti na makamu wake wawili
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakisalimiana na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipozi na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo
Viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Katibu wa CCM tawi la Diaspora UK Mariamu Mungula
Ankal akila taswirazzzzz na wana Diaspora Kizota
Kambarage ndugu yangu na wewe pia mwana CCM mkoa wa diaspora? haya kaka ndugu yako hapa tangu kiungani, kwa njeka.
ReplyDeleteKwa nini HARUNA MBEYU hakupewa kiti cha kukaa?
ReplyDeleteThis is unfair na hasa toka kwa wajumbe wengine wa CCM wanaomfaham
Sasa matokeo ya hii safari ni yepi?
kamabarage hii lini tena mwana? duh haya ila mzeee katia fora ndani mle so fuata nyayo bwana!
ReplyDelete